Collector
Urais 2030 unavyoanza ‘kuitesa’ CCM | Collector
Urais 2030 unavyoanza ‘kuitesa’ CCM
Mwananchi

Urais 2030 unavyoanza ‘kuitesa’ CCM

Imepita miezi saba tu, tangu Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 ufanyike. Tayari joto la urais mwaka 2030 ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) limeanza kupanda na kufanya ajenda hiyo iwe midomoni mwa viongozi wa chama hicho na Serikali.

Go to News Site