HabariLeo
DODOMA; SERIKALI imesema Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), itarejesha safari zake za ndege ya abiria kwenye Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita kuanzia Juni 2, 2026. Kauli hiyo imetolewa bungeni leo Mei 25, 2026 na Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Chato Kaskazini, Cornel Magembe aliyehoji bungeni ni … The post ATCL yarejesha huduma Chato first appeared on HabariLeo .
Go to News Site