Collector
Usiku wa Dhahabu Miaka 50 ya Mageuzi | Collector
Usiku wa Dhahabu Miaka 50 ya Mageuzi
bongo5.com

Usiku wa Dhahabu Miaka 50 ya Mageuzi

Katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya Jubilei ya Dhahabu ya miaka 50 ya Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), mwaka huu kupitia @tantradetz wadau wa biashara, wawekezaji, wabunifu na wananchi wanatarajiwa kushuhudia tukio la kipekee la kihistoria litakalojulikana kama “Sabasaba Golden Night”, Usiku wa Tuzo utakaofanyika tarehe 6 Julai 2026, usiku huu maalum …

Go to News Site