Collector
Teknolojia ufugaji nyuki yaongeza ushiriki wa wanawake | Collector
Teknolojia ufugaji nyuki yaongeza ushiriki wa wanawake
HabariLeo

Teknolojia ufugaji nyuki yaongeza ushiriki wa wanawake

TABORA: WANANCHI na wajasirimali wakiwemo wanawake kutoka katika vikundi vya ufugaji nyuki wilaya za  Sikonge , Urambo na Kaliua mkoani Tabora wamejengewa mazingira bora ya ufugaji kwa kutumia teknolojia ya kisasa baada ya kujengwa vizimba (mabanda ) vya kuweka mizinga badala ya njia za asili ya utundikaji juu ya miti. Matumizi hayo yametikana na utekelezaji … The post Teknolojia ufugaji nyuki yaongeza ushiriki wa wanawake first appeared on HabariLeo .

Go to News Site