Collector
Mama mzazi wa Hayati Magufuli afariki dunia Chato | Collector
Mama mzazi wa Hayati Magufuli afariki dunia Chato
Mwananchi

Mama mzazi wa Hayati Magufuli afariki dunia Chato

Mama mzazi wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati John Magufuli Suzana Magufuli, amefariki dunia leo Mei 25, 2026 nyumbani kwake Chato mkoani Geita baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Go to News Site