Collector
Waziri wa Usalama wa Ndani na Utawala wa Kitaifa, Kipchumba Murkomen, ametangaza Jumatano, Mei 27, 2026 kuwa siku ya mapumziko ya kitaifa kuadhimisha Eid-ul-Adha. Tangazo hilo limetolewa kupitia toleo maalum la Gazeti Rasmi la Serikali ya Kenya la Mei 25, 2026. #KituoChaWakenya | Collector
Waziri wa Usalama wa Ndani na Utawala wa Kitaifa, Kipchumba Murkomen, ametangaza Jumatano, Mei 27, 2026 kuwa siku ya mapumziko ya kitaifa kuadhimisha Eid-ul-Adha.

Tangazo hilo limetolewa kupitia toleo maalum la Gazeti Rasmi la Serikali ya Kenya la Mei 25, 2026.

#KituoChaWakenya
Radio Jambo

Waziri wa Usalama wa Ndani na Utawala wa Kitaifa, Kipchumba Murkomen, ametangaza Jumatano, Mei 27, 2026 kuwa siku ya mapumziko ya kitaifa kuadhimisha Eid-ul-Adha. Tangazo hilo limetolewa kupitia toleo maalum la Gazeti Rasmi la Serikali ya Kenya la Mei 25, 2026. #KituoChaWakenya

Go to News Site