Swahili Times
Kampuni ya mawasiliano ya Yas inayomilikiwa na AXIAN Telecom, imeendelea kupata mafanikio makubwa baada ya kutajwa kama moja ya chapa za kufuatiliwa barani Afrika kupitia ripoti ya Brand Finance Africa 200, 2026 na kuingia kwa mara ya kwanza kwenye orodha hiyo ikiwa na thamani ya chapa ya dola za Marekani milioni 277. Yas imeshika nafasi ya 61 kwa ujumla na nafasi ya 43 kwa ubora wa nguvu ya chapa, ikiwa na alama 84.8 kati ya 100. Utambuzi huo unaongeza hatua nyingine muhimu katika safari ya Yas kujijenga kama moja ya simulizi kubwa za mafanikio ya mabadiliko ya chapa barani Afrika, […] The post Yas Yaingia kwenye Orodha ya Chapa 50 Zenye Nguvu Afrika appeared first on SwahiliTimes .
Go to News Site