Viongozi mbalimbali wa Serikali wametuma salamu za rambirambi kwa familia ya aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, Hayati John Pombe Magufuli kufuatia kifo cha mama yake mzazi, Suzana Magufuli.