Collector
Asilimia 70 ya wagonjwa wa moyo kanda ya kaskazini washindwa kufika JKCI | Collector
Asilimia 70 ya wagonjwa wa moyo kanda ya kaskazini washindwa kufika JKCI
Mwananchi

Asilimia 70 ya wagonjwa wa moyo kanda ya kaskazini washindwa kufika JKCI

Asilimia 70 ya wagonjwa wanaohitaji huduma za matibabu ya moyo kutoka Kanda ya Kaskazini wanashindwa kufika katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kutokana na changamoto za gharama za usafiri na malazi, hali inayochangia wagonjwa wengi kushindwa kupata matibabu kwa wakati.

Go to News Site