Mwananchi
Mapambano dhidi ya maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) yameungwa mkono na Jukwaa la Wakurugenzi Wakuu wa Kampuni Tanzania (CEOrt), likisema sekta binafsi inashiriki kikamilifu kuhakikisha upatikanaji wa huduma kwa wanaoishi na virusi hivyo.
Go to News Site