Collector
Mradi bil 5/- kuing’arisha Lundamatwe | Collector
Mradi bil 5/- kuing’arisha Lundamatwe
HabariLeo

Mradi bil 5/- kuing’arisha Lundamatwe

IRINGA: Diwani wa Kata ya Ilole, Erick Kikoti ameendelea kuimarisha mawasiliano kati ya viongozi na wananchi kupitia ziara ya kijiji kwa kijiji inayolenga kusikiliza na kutatua changamoto za wananchi katika vijiji sita vya kata hiyo. Katika mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika Kijiji cha Lundamatwe na kuhudhuriwa na wananchi kutoka maeneo mbalimbali, Kikoti alisema dhamira yake … The post Mradi bil 5/- kuing’arisha Lundamatwe first appeared on HabariLeo .

Go to News Site