Swahili Times
Heart Team Africa Foundation (HTAF), kwa kushirikiana na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imezindua rasmi kampeni ya “Kutoa Ni Moyo”, kampeni ya kitaifa ya kuchangisha fedha na kuongeza uelewa kwa ajili ya kusaidia watoto wanaosumbuliwa na magonjwa ya moyo nchini Tanzania. Kampeni hii inalenga kuwaunganisha Watanzania kutoka sehemu mbalimbali za jamii katika lengo moja la kuwapa watoto wanaozaliwa na matatizo ya moyo nafasi ya pili ya kuishi kupitia matibabu na huduma muhimu za moyo. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Dkt. Peter Kisenge, alisisitiza umuhimu wa ushirikiano wa kitaifa katika kusaidia watoto hao. […] The post KAMPENI YA “KUTOA NI MOYO” YAZINDULIWA KUHAMASISHA WATANZANIA KUOKOA WATOTO WENYE MATATIZO YA MOYO appeared first on SwahiliTimes .
Go to News Site