Radio Jambo
Shirika la Kenya Red Cross limethibitisha kuitikia dharura ya moto ulioteketeza bweni katika shule ya Utumishi Girls Academy mjini Gilgil, kaunti ya Nakuru, ambapo wanafunzi kadhaa wanahofiwa kufariki.#GidiNaGhostAsubuhi #kituochawakenya
Go to News Site