Collector
Mahakama yaifuta kesi ya mgogoro mgawanyo wa rasilimali ya Chadema | Collector
Mahakama yaifuta kesi ya mgogoro mgawanyo wa rasilimali ya Chadema
Mwananchi

Mahakama yaifuta kesi ya mgogoro mgawanyo wa rasilimali ya Chadema

Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeifuta kesi ya madai ya mgawanyo wa rasilimali usio sawa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) baina ya Bara na Zanzibar.

Go to News Site