Mwananchi
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amemuomba radhi Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia kuuawa kwa raia wa China ambaye alikuwa mwekezaji na mmiliki wa kiwanda cha kuchakata chupa za plastiki cha XIL LI, Bhaozang Ge (50).
Go to News Site