Mwananchi
Hali ya tahadhari, hofu na maswali yasiyo na majibu ndiyo inayotawala katika vijiji vya Mnazi, Milamba na Nalingu vilivyopo Kata ya Nalingu, Wilaya ya Mtwara mkoani Mtwara, kufuatia kuibuka kwa mwekezaji wa kigeni mwenye asili ya China anayetarajia kuanzisha shughuli za kilimo cha mwani katika eneo hilo.
Go to News Site