Mwananchi
Wizara ya Maji, Nishati na Madini imepanga kutekeleza bajeti yake ya Sh475.39 bilioni kwa kuzingatia vipaumbele vinane vikiwamo kuimarisha mtandao wa maji, uzalishaji wa umeme na kuendeleza matumizi ya nishati jadidifu.
Go to News Site