Collector
Tanzania kuwasilisha miradi ya uwekezaji ya zaidi ya Sh7 trilioni kuvutia wawekezaji wa kimataifa | Collector
Tanzania kuwasilisha miradi ya uwekezaji ya zaidi ya Sh7 trilioni kuvutia wawekezaji wa kimataifa
Mwananchi

Tanzania kuwasilisha miradi ya uwekezaji ya zaidi ya Sh7 trilioni kuvutia wawekezaji wa kimataifa

Serikali imeweka mezani miradi ya maendeleo yenye fursa za uwekezaji yenye thamani ya Dola za Marekani bilioni 2.85, sawa na zaidi ya Sh7 trilioni, katika mkakati wa kuvutia mitaji ya kimataifa na kuimarisha kasi ya ukuaji wa uchumi wa taifa.

Go to News Site