SMZ inatumia Sh1.6 bilioni kila mwaka kununua chanjo, yafikia asilimia 92 ya walengwa | Collector
Mwananchi
SMZ inatumia Sh1.6 bilioni kila mwaka kununua chanjo, yafikia asilimia 92 ya walengwa
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) inatumia Sh1.6 bilioni kila mwaka kununua chanjo za magonjwa mbalimbali, huku ikifanikiwa kufikia asilimia 92 ya utoaji wa huduma hizo kwa walengwa.