Collector
Wabunge wataka nyumba zenye bei rafiki kwa wenye kipato cha chini | Collector
Wabunge wataka nyumba zenye bei rafiki kwa wenye kipato cha chini
Mwananchi

Wabunge wataka nyumba zenye bei rafiki kwa wenye kipato cha chini

Wabunge wametaka Serikali ibadili mfumo wa ujenzi wa nyumba ambazo zimekuwa zikisimamiwa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia Shirika la Nyumba (NHC) ili kuwepo na ujenzi wa nyumba za gharama nafuu.

Go to News Site