Collector
KONA YA MSTAAFU: Mstaafu anapoijenga nchi inayoishia kuwa na mishahara miwili tofauti | Collector
KONA YA MSTAAFU: Mstaafu anapoijenga nchi inayoishia kuwa na mishahara miwili tofauti
Mwananchi

KONA YA MSTAAFU: Mstaafu anapoijenga nchi inayoishia kuwa na mishahara miwili tofauti

Mstaafu wetu anakumbuka sana mwaka ulee wazee wetu walipochanganya michanga ya nchi mbili ili kuziunganisha kuwa nchi moja. Alikuwa 'denti' wa shule ya msingi lakini alieleweshwa vyema maana ya kuwa nchi mbili zilizoungana na kuwa nchi moja. Bara na Visiwani.

Go to News Site