Radio Jambo
Jeraha hilo linatarajiwa kumweka Neymar nje kwa kipindi cha wiki mbili hadi tatu na litampelekea kukosa mechi zijazo za kirafiki za The Samba Boys na huenda akakosa mechi yao ya ufunguzi dhidi ya The Atlas Lions, Morocco. #GidiNaGhostAsubuhi #KituoChaWakenya
Go to News Site