Collector
Miradi yalenga kuzalisha lita bilioni 13 za maziwa | Collector
Miradi yalenga kuzalisha lita bilioni 13 za maziwa
HabariLeo

Miradi yalenga kuzalisha lita bilioni 13 za maziwa

IRINGA: Katika kuadhimisha Wiki ya Unywaji Maziwa nchini inayofanyika kitaifa mkoani Iringa, Bodi ya Maziwa Tanzania imetambulisha miradi miwili mikubwa ya kimkakati inayolenga kuleta mapinduzi katika sekta ya maziwa nchini kwa kuongeza uzalishaji, kuboresha mifugo, kuimarisha usindikaji na kuongeza kipato cha wafugaji. Miradi hiyo ni Tanzania Inclusive Processor–Producer Partnership in Dairy (TI3P) pamoja na Climate-Smart … The post Miradi yalenga kuzalisha lita bilioni 13 za maziwa first appeared on HabariLeo .

Go to News Site