HabariLeo
TABORA: WANAFUNZI wakike wa Chuo cha Mafunzo ya Ufugaji Nyuki (BTI),Tabora ameipongeza Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii kuwajengea bweni la kisasa la ghorofa moja ambalo limekuwa ni chachu kubwa ya kuongezeka kwa idadi yao kwenye sekta nyuki nchini. Wanafunzi, Dorotha Bahati, Mwanahawa Khalfani, Zaida Athumani pamoja na Jesca … The post Wanafunzi BTI waisifu serikali ujenzi wa bweni first appeared on HabariLeo .
Go to News Site