HabariLeo
DODOMA;Mbunge wa Tarime Mjini, Mwita Waitara, ameuliza bungeni kama serikali inatoa elimu bure au inatoa elimu bila ada. Akijibu swali hilo Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi), Dk Festus Dugange kwa niaba ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, amesema serikali imeendelea kutekeleza Sera ya utoaji wa ElimuMsingi bila mzazi/mlezi kuchangia ada. ”Katika kutekeleza … The post Mbunge ahoji serikali inatoa elimu bure au elimu bila ada first appeared on HabariLeo .
Go to News Site