HabariLeo
DAR ES SALAAM: SERIKALI imesema itaendelea kuweka mazingira rafiki kwa wawekezaji wa huduma za usafiri wa mtandao huku ikisisitiza kuwa sekta hiyo imekuwa mhimili muhimu wa ukuaji wa uchumi, ajira kwa vijana na maendeleo ya huduma za kidijiti nchini. Kauli hiyo imetolewa leo Dar es Salaam na Mkurugenzi Msaidizi wa Usafiri kwa njia ya Barabara … The post Serikali yaimarisha mazingira usafiri mtandao first appeared on HabariLeo .
Go to News Site