HabariLeo
KAGERA: Wananchi wanaojishughulisha na kilimo cha mazao katika Tarafa ya Rulenge, wilayani Ngara mkoani Kagera, kwa pamoja wameanzisha Chama cha Msingi Rulenge (AMCOs) ambacho kitawasaidia kukusanya mazao yao na kufuatilia bei nzuri za masoko kwa ajili ya kuuza kwa pamoja mazao ya kahawa, maharage, mahindi, parachichi na alizeti. Mwenyekiti wa bodi ya uanzishwaji wa chama … The post Rulenge wazindua AMCOs kuboresha masoko ya mazao first appeared on HabariLeo .
Go to News Site