Mwananchi
Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga, limekamata watuhumiwa 78 kwa makosa mbalimbali pamoja na silaha moja aina ya bastola ikiwa na risasi 11, iliyoripotiwa kuibiwa Mei 10, 2026 katika mtaa wa Nyakato wilayani Kahama.
Go to News Site