Mwananchi
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaendelea kuwalinda na kuwaheshimu wazee kwa kutambua mchango wao mkubwa katika historia ya taifa na maendeleo ya nchi, kikieleza kuwa wazee ni hazina ya hekima inayopaswa kuthaminiwa.
Go to News Site