Collector
CCM: Wazee ni hazina ya taifa, tutawalinda na kuwaheshimu | Collector
CCM: Wazee ni hazina ya taifa, tutawalinda na kuwaheshimu
Mwananchi

CCM: Wazee ni hazina ya taifa, tutawalinda na kuwaheshimu

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaendelea kuwalinda na kuwaheshimu wazee kwa kutambua mchango wao mkubwa katika historia ya taifa na maendeleo ya nchi, kikieleza kuwa wazee ni hazina ya hekima inayopaswa kuthaminiwa.

Go to News Site