Mwananchi
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wameikalia kooni kampuni ya Rand Water, wakidai imeshindwa kutatua changamoto ya upatikanaji wa maji visiwani humo, huku wakisisitiza kuwa bila Serikali kuweka bajeti zinazotekelezeka, tatizo hilo litaendelea kuwaumiza wananchi.
Go to News Site