Waandishi wa Mwananchi wang’ara Tuzo za Ejat | Collector
Mwananchi
Waandishi wa Mwananchi wang’ara Tuzo za Ejat
Waandishi wawili wa Mwananchi ni miongoni mwa washindi waliochukua tuzo katika kinyang’anyiro cha Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (Ejat) kwa mwaka 2025.