Swahili Times
Benki ya NMB imeendelea kuimarisha huduma kwa wafanyabiashara kupitia NMB Business Club, jukwaa linalowapa wateja elimu ya fedha, teknolojia na fursa mbalimbali za kukuza biashara zao kwa uendelevu. Semina hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Cardinal Rugambwa, Dar es Salaam. Akizungumza katika semina hiyo, Mwenyekiti wa NMB Business Club Mkoa wa Dar es Salaam na Mjumbe wa Bodi ya Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT), Award Mpandila, alisema jukwaa hilo limekuwa muhimu kwa kuwaunganisha wafanyabiashara na kuwajengea uwezo wa kutumia mifumo rasmi ya kifedha. Aliwahimiza wafanyabiashara kupitisha mauzo yao kupitia benki ili kujenga historia nzuri ya kifedha inayoweza kuwasaidia kupata huduma mbalimbali, […] The post Wafanyabiashara Wapata Mbinu za Ukuaji Kupitia NMB Business Club appeared first on SwahiliTimes .
Go to News Site