Gharama, upatikanaji mdogo wa pedi bado kikwazo kwa wasichana Tanzania | Collector
Mwananchi
Gharama, upatikanaji mdogo wa pedi bado kikwazo kwa wasichana Tanzania
Changamoto hizo si suala la usafi wa mwili pekee, bali zinaathiri pia elimu, afya, ushiriki wa wanawake katika shughuli za kiuchumi na heshima yao katika jamii.