Aliyembaka bibi wa miaka 64, akwaa kisiki mahakamani | Collector
Mwananchi
Aliyembaka bibi wa miaka 64, akwaa kisiki mahakamani
Hukumu iliyothibitisha adhabu hiyo imetolewa Mei 29, 2026 na Jaji Stephen Magoiga aliyekuwa akisikiliza rufaa hiyo ya jinai namba 2346/2026 iliyokuwa imekatwa na Ramadhani.