Collector
Zanzibar kuboresha huduma za teksi kupitia mfumo wa nauli kidijitali | Collector
Zanzibar kuboresha huduma za teksi kupitia mfumo wa nauli kidijitali
HabariLeo

Zanzibar kuboresha huduma za teksi kupitia mfumo wa nauli kidijitali

Unguja. Zanzibar imeanza mchakato wa kuboresha sekta ya usafiri wa teksi kupitia mpango wa kuanzisha mfumo wa kidijitali wa malipo na upimaji wa nauli unaolenga kuongeza uwazi, ufanisi na urahisi kwa wakazi pamoja na wageni. Mpango huo unaandaliwa kwa ushirikiano wa pamoja na Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA), Tume ya Utalii Zanzibar (ZCT) na wadau … The post Zanzibar kuboresha huduma za teksi kupitia mfumo wa nauli kidijitali first appeared on HabariLeo .

Go to News Site