Collector
Sita wafariki ajali ya basi na Coaster Mkuranga | Collector
Sita wafariki ajali ya basi na Coaster Mkuranga
Mwananchi

Sita wafariki ajali ya basi na Coaster Mkuranga

Ajali hiyo ilitokea baada ya vyombo hivyo viwili kugongana uso kwa uso wakati basi la Mahuta likitoka Newala mkoani Mtwara kuelekea Dar es Salaam, huku Toyota Coaster ikitoka Dar es Salaam kuelekea Somanga.

Go to News Site