HabariLeo
MOSHI: UJENZI wa Kituo Kikuu cha Mabasi cha Kimataifa cha Ngangamfumuni katika Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro unatajwa kuwa chachu ya kuibadilisha Manispaa hiyo na kuwa kitovu kipya cha shughuli za kiuchumi Kanda ya Kaskazini. Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Maoinduzi (CCM)Taifa, Kenani Kihongosi amebainisha hayo leo Mei 30,2026 alipotembelea … The post Kituo cha mabasi Ngangamfumuni kuifungua Moshi first appeared on HabariLeo .
Go to News Site