Serikali imeondoa hofu kwa wananchi wanaopisha utekelezaji wa mradi wa maji Manyoni mkoani Singida, ikiahidi kulipa fidia kwa mujibu wa sheria.