HabariLeo
DODOMA: Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Uratibu na Watu Wenye Ulemavu, Ummy Nderiananga, amewataka wanaume nchini kuacha tabia ya kutelekeza watoto wenye ulemavu na kushiriki kikamilifu katika malezi yao. Amesisitiza kuwa serikali imeweka mifumo mbalimbali ya kuhakikisha watoto hao wanapata haki na huduma za msingi ili waweze kutimiza ndoto … The post Wanaume waonywa kutelekeza watoto first appeared on HabariLeo .
Go to News Site