Mtoto akatwa mkono baada ya kupigwa shoti ya umeme Dodoma | Collector
Mwananchi
Mtoto akatwa mkono baada ya kupigwa shoti ya umeme Dodoma
Mbali na kupoteza mkono, mtoto huyo ameungua sehemu mbalimbali za mwili kuanzia miguuni hadi mikononi baada ya kupigwa shoti ya umeme katika tukio lililotokea Mei 4, 2026.