Collector
Washindi wa kwanza wa Kampeni ya “Kila Muamala ni Bao la Ushindi” wakabidhiwa zawadi | Collector
Washindi wa kwanza wa Kampeni ya “Kila Muamala ni Bao la Ushindi” wakabidhiwa zawadi
Swahili Times

Washindi wa kwanza wa Kampeni ya “Kila Muamala ni Bao la Ushindi” wakabidhiwa zawadi

Kampuni ya Mixx imewakabidhi zawadi washindi wa awamu ya kwanza wa kampeni ya “Kila Muamala ni Bao la Ushindi”, hatua inayokuja wakati hamasa ya mashabiki wa soka kuelekea michuano ya Kombe la Dunia ikiendelea kuongezeka nchini. Kampeni hiyo, inayofanyika kwa ushirikiano na Hisense yenye kauli mbiu ya “Ikiingia Tu Goli”, inalenga kuwapa watumiaji wa huduma za Mixx nafasi ya kushinda zawadi mbalimbali wanapofanya miamala ya kila siku kupitia jukwaa hilo la kifedha kidijitali. Akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi hizo, Mkuu wa Kitengo cha Chapa na Mawasiliano – Mixx, Bi. Anisah Mamuya, alisema kampeni hiyo imebuniwa kutokana na mapenzi […] The post Washindi wa kwanza wa Kampeni ya “Kila Muamala ni Bao la Ushindi” wakabidhiwa zawadi appeared first on SwahiliTimes .

Go to News Site