AfDB, ASSA kuimarisha uwekezaji wa mifuko ya hifadhi ya jamii Afrika | Collector
Mwananchi
AfDB, ASSA kuimarisha uwekezaji wa mifuko ya hifadhi ya jamii Afrika
Makubaliano hayo yalitiwa saini Mei 28, 2026 pembeni mwa mikutano ya mwaka ya kundi la Benki ya Maendeleo ya Afrika inayoendelea mjini Brazzaville, Jamhuri Kidemokrasia ya Congo.