UNDP itakavyoviwezesha vyuo 10 Tanzania | Collector
Mwananchi
UNDP itakavyoviwezesha vyuo 10 Tanzania
Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) Tanzania, limeingia makubaliano na taasisi kumi za elimu ya juu kwa ajili ya kuwajengea uwezo vijana na kuchochea maendeleo endelevu.