Meli ya kwanza ya kimataifa yashusha mafuta Zanzibar | Collector
Mwananchi
Meli ya kwanza ya kimataifa yashusha mafuta Zanzibar
Kwa mara ya kwanza meli ya kimataifa ya mafuta kutoka Saudia Arabia imeshusha petroli, dizeli na mafuta ya ndege katika Bandari Jumuishi ya Mangapwani.