Collector
NMB Yaiweka Tanzania Kwenye Ramani ya Mitaji Cambridge | Collector
NMB Yaiweka Tanzania Kwenye Ramani ya Mitaji Cambridge
Swahili Times

NMB Yaiweka Tanzania Kwenye Ramani ya Mitaji Cambridge

Mkurugenzi Mtendaji na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna, amesema hatua inayofuata ya ukuaji wa Afrika itategemea taasisi zinazoaminika, mitaji ya muda mrefu na mifumo jumuishi, baada ya kuwasilisha hadithi ya mageuzi ya sekta ya benki Tanzania katika Cambridge Africa Business Conference 2026. Akizungumza katika kongamano hilo lililoandaliwa na Cambridge Judge Business School, University of Cambridge, chini ya kaulimbiu ya “Kujenga Mustakabali wa Afrika: Mitaji, Ubunifu na Ukuaji wa Pamoja wa Bara la Afrika,” Zaipuna aliitumia safari ya NMB kama mfano wa taasisi ya Afrika inayoweza kuvutia mtaji, kuchochea ubunifu na kujenga uaminifu. “Mustakabali wa Afrika hautaletwa […] The post NMB Yaiweka Tanzania Kwenye Ramani ya Mitaji Cambridge appeared first on SwahiliTimes .

Go to News Site