HabariLeo
IRINGA: Serikali imetangaza mpango wa kuunganisha Bodi ya Maziwa na Bodi ya Mifugo ili kuongeza ufanisi katika usimamizi wa sekta ya mifugo na maziwa nchini, hatua inayotarajiwa kuleta mageuzi katika uzalishaji, usindikaji na masoko ya maziwa kwa manufaa ya wafugaji na uchumi wa taifa. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa Wiki ya 29 ya Maadhimisho ya … The post Muungano wa bodi kuleta mageuzi sekta ya mifugo first appeared on HabariLeo .
Go to News Site