Collector
Kihongosi awasili Manyara ziara ya kikazi | Collector
Kihongosi awasili Manyara ziara ya kikazi
HabariLeo

Kihongosi awasili Manyara ziara ya kikazi

MANYARA: KATIBU wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi leo Juni Mosi,2026 amewasili katika Mkoa wa Manyara kwa ajili ya kuendelea na ziara yake ya Kikazi katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini. Mkoa wa Manyara ni mkoa wa 11 Kihongosi kutembelea katika ziara zake za kukagua uhai wa … The post Kihongosi awasili Manyara ziara ya kikazi first appeared on HabariLeo .

Go to News Site