HabariLeo
DODOMA: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk. Dorothy Gwajima, amesema kuwa takwimu zinaonesha kupungua kwa matukio ya ukatili wa kingono nchini, ingawa wanawake bado wanaendelea kuwa waathirika wakuu wa vitendo hivyo. Akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027 leo Juni 1, 2026, … The post Dk Gwajima aeleza mafanikio ukatili wa kingono first appeared on HabariLeo .
Go to News Site