IGP Wambura awapa ujumbe polisi, asisitiza uaminifu kurejesha imani kwa wananchi | Collector
Mwananchi
IGP Wambura awapa ujumbe polisi, asisitiza uaminifu kurejesha imani kwa wananchi
Inspekta Jenerali wa Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura ametoa maelekezo matatu kwa watendaji wa Kamisheni ya Uchunguzi wa Kisayansi akisema yataimarisha ubora wa utendaji na ufanisi wa kazi zao.